
Rais Jakaya Kikwete akipiga kura yake katika kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Msoga, kata ya Msoga,Chalinze leo asubuhi.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Dr. Ali Mohamed Shein akipiga kura kwenye kituo cha Uchaguzi Shule ya Msingi Oyesterbay jijini Dar es salaam mapema leo asubuhi.

Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Joseph Sinde Warioba akipiga kura kwenye kituo cha uchaguzi Shule ya Msingi Oyesterbay jijini Dar es Salaam leo.
.jpg)
Dk. Mohamed Gharib Bilal akitumbukiza karatasi ya kupigia kura wakati alipofika katika kituo cha kupigia kura cha Kiembe Samaki mjini Zanzibar leo.

Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Salim Ahmed Salim, (wa pili kutoka mwisho) akiwa katika mstari unaolekea katika Chumba cha upigaji kura leo jijini Dar es salaam kwa ajili ya kushiriki zoezi la kumchagua Rais, Mbunge na Diwani.
No comments:
Post a Comment