HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 31, 2010

swali la kizushi: je, waweza tambua ni wapi hapa??

3 comments:

  1. ni faya kwenye mataaa ya kwenda msimbazi na umoja wa vijana gari lina kwenda barabara ya mzimazi kwa mbele yake kuna kituo cha mabasi

    ReplyDelete
  2. barabara ya morogoro rd
    maeneo ya fire

    ReplyDelete
  3. Picha imepigwa kwenye zebra crossing kutoka morogoro road kuvuka Msimbazi road ..kuelekea kwenye BP station , maghorofa mbele ni fire flats, magari yanaelekea msimbazi st....kwa maana hiyo hapo na junction ya Msimbazi,morogoro road and Mazengo st...

    ReplyDelete

Post Bottom Ad