Tuesday, October 26, 2010

Swahili Fashion Week party ilivyofana

Wakiserebuka katika party ya uzinduzi wa SFW 2010
Wabunifu wa Mavazi wakitabasamu wakati wa Party ya SFW 210
Wabunifu wa mavazi wakifurahi kwa pamoja
Mama Ailinda Sawe nae alikuwepo.

No comments:

Post a Comment