Tuesday, October 26, 2010

mkutano wa mabadiliyo ya tabianchi wafunguliwa leo jijini dar

Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira, Bw Richad Muyungi akizungumza jambo na Balozi wa Jumuia ya Ulaya nchini, Bw Tim Clarke Mara Baada ya Kufunguwa Mkutano wa Mabadiliko wa Tabianchi Uliofanyika Hotel ya Movin Pic jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment