HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 12, 2010

muonekano wa basi la shambalai baada ya kupata ajali

linavyoonekana kwa karibu.
hivi ndivyo lilivyokuwa basi la Shambalai,mara baada ya kuigonga lori iliyokuwa imesheheni mbao kwa nyuma na kusababisha kifo cha mtu mmoja anaesadikika kuwa ni mtoto wa mmiliki wa mabasi hayo yenye maskani yake Lushoto,mkoani Tanga.
hii ndio sehemu iliyotokea ajali hiyo,sasa sijui ni kitu gani kilimtokea dereva mpaka aliingia lile lori kwa nyuma??maana hapa ni tambarale kabisa na hata anaekija mbele unamuona vyema kabisa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad