Wapendwa wadau,
Napenda kulitambulisha kwenu libeneke jipya la waswahili mtandaoni linalokwenda kwa jila la TULONGE.
Mnakaribishwa sana katika wanja hili ambapo ndani yake utakuta na na marafiki wa kila aina,pia utaweza kuweka picha zako pamoja na kuchangia mijadala mbali mbali.
kwa kujiunga katika Libeneke hili
Bofya HAPA
kama tayari wewe ni mdau


No comments:
Post a Comment