HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 28, 2010

kuna umuhimu wa kuweka kivuko mahala hapa??

baadhi ya wanafunzi wakivuka barabara ya Morogoro, katika eneo ya Faya mchana wa leo walipokuwa wakitoka shule.sehemu hii ni ya hatari sana kwa kuvuka watoto hawa maana hakuna kivuko na magari huwa yanapita kwa mwendo kasi kidogo.sasa sijui serikali inalichukuliaje swala hili??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad