HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 14, 2010

kumbukumbu ya miaka 11 ya kufariki kwa Baba wa Taifa Mwalimu J.K Nyerere

Mwalimu akiwa amebebwa juu juu baada ya kupata uhuru
Mwalimu Julias K.Nyerere na Mzee Abeid A.Karume wakipita mitaa ya Dar es Salaam kusherehekea na wananchi siku ya kwanza ya Muungano
Mwalimu akichanganya udongo kwa kuashiria muungano wa Tanganyika na Zanzibar
 Mwalimu Nyerere akiwa na Familia yake.
enzi hizo: Baba wa Taifa,Mwalimu Julius Nyerere akiwa na aliekuwa Rais wa Msumbiji miaka hiyo,Hayati Samora Machel pamoja na wake zao.mama Maria Nyerere (kulia) na mama Graca Machel
Mwalimu Nyerere akiwa na Wasaidizi wake,Kutoka kushoto ni marehemu Habib Halahala, Mzee Paul Sozigwa, Mwalimu, Mzee Hashim Mbita, Mzee Benjamin Mkapa.
Mwalimu Nyerere akiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa
Mwalimu akiwa na Fidel Castro wa Cuba.
Mwalimu akifurahi jambo na Shujaa Nyirenda
siku mwili wa Baba wa Taifa ulipowasili nchini toka nchini Uingereza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad