HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 28, 2010

kitu cha miwa

raha jipe mwenyeeeweeeeee.......... watu tutakata zetu kiu na kitu cha juisi ya miwa.hapo ni fresh kabisa.

1 comment:

  1. Sema mzee wa mtaa,Vipi hao masela pembeni walisoma kisomachi sec au nimewafananisha? Kama sijakosea jamaa aliekaa kulia alikuwa vice president alafu kati atakuwa Amis.
    Poa bababake hapo inaelekea mtarudi tena kufanyizia kitu cha miwa.
    Mdau Madude,from kill boys to kisomachi.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad