HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, October 8, 2010

hii imekaaje wajameni??

halafu hii chupa inaonekana ina yale mambo ndani yake.

3 comments:

  1. unajua kuna watu wengine wanadhani ni sifa kumbe ni ujinga mtoto baadaye akikushinda unaanza kulalamika, tuache upuuzi mpe mtoto elimu

    ReplyDelete
  2. mbona umemtoa hapo huyo ni mtoto wa mama sikujua wakinondoni shamba kweli huwa anakunywa lakini kwenye grass chupa moja tu mbona hilo linaeleweka tu bomba

    ReplyDelete
  3. katoto haka katapata kazi breweries siku zijazo hata mama yake alikuwa hivyohivyo na sasa anajipatia mshiko kwa kutangaza kinywaji hicho

    ReplyDelete

Post Bottom Ad