HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 24, 2010

gisler na salama wameremeta leo

Mdau Gisler Sakaya akiwa amembeba mai waifu wake,Salama (Judica) Martin mara baada ya kufunga pingu ya maisha leo jioni katika kanisa Katoliki la Ubungo Kibangu.
Pozi safi kabisa,maharusi na wapambe wao katika picha,full kujiachia.
Maharusi Gisler na Salama wakiwa ndani ya kanisa leo jioni wakihudhuria ibada ya ndoa wakiwa na wapambe wao pamaoja na wageni waalikwa mbalimbali waliofika katika kanisa la Katoliki-Kibangu Ubungo.

Maharusi na wapambe wao wakipata chakula usiku huu ndani ya ukumbi wa Sunset,Mbezi Beach jijin Dar.
Bwana harusi ambaye ni mfanyakazi wa Benki ya Stanbic,Gisler akikata kipande cha nyama ya ndafu kwa ajili ya kuwalisha pande zote mbili za wazazi na baadhi ya wageni waalikwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad