HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 31, 2010

bi. kidude ndani ya flava nite @ mzalendo pub

Dj Bon Lov akiwa Bi. Kidude ambaye alifika kwenye kiota cha mzalendo pub katika libeneke zima na flava nite ili kutia baraka kwa vijana wake kina Bon Lov.kushoto ni mdau Dullah.
Juma (Zoba) akiuza nyango na Bi. Kidude
hata Angelo nae alipata wasaha wa kuuza na Bi. Kidude.
Dj Mackay akimkaribisha Bi. Kidude ndani ya flava nite huku akimuhesabia Bi. Kidude kitu cha jiwe (shilingi laki moja bila chenji) kama ishara ya baraka walizopokea kutokana na ujio wake katika kiota hicho.
"......aaaahhhhh.... ahmadaa eehhh,ahmadaaa........" Bi. Kidude akisakata magoma.
Bi. Kidude akipiga stori na Da' Mboni Masimba huku watu wengine kibao wakisuhudia.
Bi. Kidude akiwa kati na mshabiki wake.
utamtakaaaa.......??
huku nako mambo yalikuwa kama kawa,kama dawa.
kiduara hichoooo
haya tenaaaaa

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad