HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 1, 2010

Warembo wa Vodacom Miss Tanzania watembele TBL Leo

Meneja wa kilaji cha Redd's Premium cold,Kabula Nshimo akiongea na waandishi wa habari waliofika leo katika kampuni ya kutengeneza bia Tanzania (TBL) sambamba na warembo washiriki wa Vodacom Miss Tanzania 2010 walipotembele kiwanda hicho leo.
Meneja Mawasiliano wa TBL,Edith Mushi akionea na waandishi wa habari mara baada ya kuwapa somo la kuhusiana na umuhimu wa maji katika jamii kwa warembo washiriki wa Vodacom Miss Tanzania waliotembelea kiwanda hicho cha bia leo kilichopo Ilala,Mchichini.
Afisa usalama wa TBL,Ismail Kalema (pili kulia) akiwaelekeza Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wakati wa mafunzo ya uzimaji moto waliyokuwa wakiyapata leo katika kampuni ya bia Tanzania,TBL.
Warembo wakisoma maelezo yaliyoandikwa kwenye mitungi ya kuzimia moto.
wakiwa tayari kwa kuzima moto
Warembo wa Vodacom Miss Tanzania,wakipata maelezo ya namna ya utengenezaji wa bia zinazozalishwa na kampuni ya bia Tanzania (TBL) kutoka kwa afisa wa TBL,Tumaini Moses
Baadhi ya Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wakijabu kuvaa miwani ya kiusalama kabla ya kuanza kutembelea kiwanda cha bia Tanzania,TBL
wakiingia kiwandani
picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad