HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 11, 2010

UZINDUZI WA ALBAM MPYA YA TIP TOP CONNECTION

Kundi la Tip Top Connection likiwarusha mashabiki waliofurika katika ukumbi wa Sunsiro,Sinza jijini Dar wakati wa uzinduzi wa albam yao mpya.
Madee mmoja wa vijana kutoka kundi la Tip Top Connection akiwaburudisha mashabiki wao.
Mashabiki wakiserebuka
Bado tunapanda...ndivyo mashabiki wa kundi la Tip Top Connection walivyosikika wakiimba

kwa picha zaidi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad