HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 20, 2010

shear illusions kufanya tamasha oktoba 2

Meneja wa Sheir Illusions,Susan Miseda akitoa taarifa ya ujio wa msanii mahiri katika miondoko ya Salsa, Joush Tasia Rhumba kutoka nchini Ireland kwa waandishi wa habari waliofika katika ukumbi wa mikutano wa Paradise Hoteli.Msanii huyo atawasili hapa nchini kwa ajili ya shoo moja itakayofanyika tarehe 2,oktoba katika hoteli ya Hilton,jijini Dar.kushoto ni Mkurugenzi wa Kijiji cha SOS CHILDREN'S TANZANIA,Dr. Alex Victor Lengeju.
Mkurugenzi wa kijiji cha kulea watoto waishio katika mazingira ma gumu (SOS CHILDREN'S TANZANIA) Dr. Alex Lengeju akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari namna ya uendeshaji wa kijiji hicho.kulia ni Meneja wa Shear Illusions,Susan Miseda.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad