
Mjumbe wa Kamati ya utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)Taifa,Ridhiwani Kikwete,akivishwa skafu alpowasili leo asubuhi katika Jimbo la Lupa, Chunya kuendeleza kampeni za ushindi wa kishindo kwa CCM.

Mjumbe wa Kamati ya utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)Taifa,Ridhiwani Kikwete, akiwatambulisha kwa wananchi, mgombea ubunge jimbo la Lupa, Victor Mwambalaswa kulia na mgombea Udiwani Kata ya Mbegani,Bosco Mwanginde leo asubuhi katika jimbo la Lupa,Chunya.

Baadhi ya wakazi wa Kata ya Mbugani, Chunya wakisikiliza wakati Mjumbe wa Kamati ya utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)Taifa,Ridhiwani Kikwete,akihutubia mkutano wa Kampeni uliofanyika katika Kata hiyo, Jimbo la Lupa, Chunya.
No comments:
Post a Comment