
katika katiza katiza zangu za Mtaa kwa Mtaa,nilifika sehemu na kukutana na mambo kama haya.yaani ukija na gari lako unapishwa kupaki lakini shalti lake ni kwamba mpaka jua lizame maana huwa kunakuwa na biashara za kupangwa chini kama ionekanavyo katika picha hii.
No comments:
Post a Comment