Daladala likipita katika moja ya mashimo yaliyochimbika katika barabara ya mtaa wa mafia kariakoo baada ya mvua zilizokuwa zikinyesha jijini miezi kadhaa iliyopita na kusababisha kuwepo kwa mashimozz makubwa namna hii.
yaani ni kero kweli kweli......!!!
hata wa kikokoteni pia hupita kwa shida.
hapa utafikiri palikuwa pamechimbwa spesheli kwa kuweka swiming pul,maana pamechimbilka vibaya sana.
No comments:
Post a Comment