HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 5, 2010

mitaa ya tabata msimbazi leo

kamera ya mtaa kwa mtaa leo imepigia misele mitaa hii ambayo inadaiwa kwamba mvua ikinyesha tu,basi jua kabisa hapo hapatokeki wala hapafikiki.hasa katika eneo hili ambalo ndilo liko bondeni kabisa.hiyo mitaro inayoonekana hapo ilichimbwa na wakazi wa eneo hilo ili kuweza kuruhusu maji kutembea lakini mambo bado sio mambo mpaka sasa.
eneo hili linavyoonekana sasa baada ya mvua zilizonyesa siku nyingi kidogo zilizopita.
mzee wa mtaa kwa mtaa akivuka mto msimbazi ambao kwa sasa umekakuka,sijui sababu ni nini iliyopelekea mto huu kukauka.(wataalam uwanja ni wenu).
tope....
madogo wakisaka samaki katika mabaki ya maji ya mto msimbazi mchana wa leo.

1 comment:

  1. kwani hivyo viwanja wamevamia au vimegawa na ardhi?pia nilikuomba ukipiata mitaa ya mtoni kijichi unachukulie taswira za huko bado nasubiri mdau wa texas

    ReplyDelete

Post Bottom Ad