Salam kaka
Balozi Mpya wa Tanzania nchini Uingereza,Mh Peter Kallaghe aliwaalika Watanzania na kuftari pamoja nyumbani kwake jumamosi tarehe 04.09.10. Baada ya kuftari Mh Kallaghe alijitambulisha na kuwashukuru Watanzania wote waliofika nyumbani kwake. Pia aliahidi kuwa karibu na Watanzania.
Asanteni na Wote Mbarikiwe,
Urban Pulse Creative.
No comments:
Post a Comment