HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 18, 2010

mangi wetu huyu

hapa ndipo ninapojipatia mahitaji ya fasta fasta,niwapo mitaa ya home anaitwa Swai.yaani hapa nadaiwaga mpaka nasamehewaga madeni mengine.daahh...!! jamaa fresh kweli huyu.

1 comment:

  1. du..kaka unatisha angalia sio tu anakusamehe asijekuwa anakulia taimingi baadae akaema...'Haisee baba yangu unatakaiwa kulipa hiyo" au tuele wa tuelewane babae"..

    ReplyDelete

Post Bottom Ad