HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 3, 2010

Machinga Wazidi Kupeta Mtaani

pamoja na kwamba jengo kubwa na la kisasa kabisa la biashara kufunguliwa pale maeneo ya Ilala,jamaa hawa ndio kwaanza hawana hata mshtuko wa kutaka kwenda kuwahi kujichukulia nafasi katika mjengo huo mpya na kuendeleza libeneke lao huku mitaani kama kawa.
hapa ni maeneo ya Morocco,Kinondoni leo mchana.

2 comments:

  1. Yaani hawo wasubiri uchaguzi upite watashangaa wenyewe. Kura zao zinatakiwa tu! hii ni bongo bwana

    ReplyDelete
  2. Sasa wewe unataka waende wapi? unataka wawe wanatembea mitaani hovyo kama wewe?

    ReplyDelete

Post Bottom Ad