HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 1, 2010

kocha mpya wa timu ya taifa ya Netiboli awasili nchini leo

Kocha atakayeinoa timu ya Taifa ya Netiboli, Simone Macknis (katikati) akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo jioni kwa ajili ya kuinoa timu hiyo. Kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Netiboli Tanzania (CHANETA), Anna Bayi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad