hivi ni vibanda vya kupumzikia wakati wa kusubiri usafiri wa daladala katika kituo cha kusubiria usafiri huo cha muhimbili.kiukweli sehemu nii inastahili kuwa mfano wa kuigwa kwani panapendeza na panavutia sana.wengine hupumzika kwa namna hii.
Hakuna lolote hapo ni uharo mtupu, nenda kaone bus stop za nchi zingine,utafurahi mwenyewe.
ReplyDelete