
Wachezaji wa Pool Safari Lager upande wa Wanawake,Shamira Mohamed kutoka Mwanza (kushoto) na Cecilia Kileo kutoka Kilimanjaro wakicheza wakati wa mashindano ya fainali za kitaifa zinazoendela mjini Arusha.Cecilia Kileo alishinda mchezo huo

Mchezaji wa Pool ,Betty Sanga kutoka Mbeya akicheza dhidi ya mpinzani wake Happy Gumbo kutoka Mbeya wakati wa fainari za Pool Safari Lager zinazoendelea mjini Arusha.Betty Sanga alishinda mchezo huo.
No comments:
Post a Comment