HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 14, 2010

3 comments:

  1. Ina maana huyu jamaa wa pikipiki hajui hii ni njia ya waendao kwa miguu au ni uvivu wa kufikiria!!!!!!
    Jamani wakati mwingine inabidi tuwe wasitaarabu si kila jambo tunalichukulia kimzaamzaa.

    Mie maoni yangu ni kwamba hawa jamaa(waendao kwa miguu)wanaotumia njia kama hizi wawe wanawaambia kuwa watumiao pikipiki hawaruhusiwi kupita njia ya waendao kwa miguu.

    ReplyDelete
  2. Ina maana huyu jamaa wa pikipiki hajui hii ni njia ya waendao kwa miguu au ni uvivu wa kufikiria!!!!!!
    Jamani wakati mwingine inabidi tuwe wasitaarabu si kila jambo tunalichukulia kimzaamzaa.

    Mie maoni yangu ni kwamba hawa jamaa(waendao kwa miguu)wanaotumia njia kama hizi wawe wanawaambia kuwa watumiao pikipiki hawaruhusiwi kupita njia ya waendao kwa miguu.

    ReplyDelete
  3. upumbavu kama huu unawezekana bongo peke yake...huwezi fanya hizi sehemu nyingine yoyote ktk dunia hii

    ReplyDelete

Post Bottom Ad