HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 17, 2010

Flava Nite Na Yenu La Kufa Mtu Toka Kwa DJ Mackay

Flava Nite ya Yenu ni leo pale Zhonghua Garden,ambapo mkali wa magoma hayo Dj Mackay (pichani) ataungurumisha mnadude ya ukweli katika usiku wa yenu ambao upifanyika mara moja tuu nayo ni leo,hivyo fanya hima kufika pale Zhonghua ili uweze kujumuika na wadau wengine katika kulisakana yenu.ukiachilia Dj Mackay pia yupo Dj mkali wa old skul Dj Bon Luv pamoja na Dj Osca.
Mackay akiwapa watu vitu roho inapenda.

fanya usiikose hii,kwani ukiikosa hii
UMEKWISHAA....!!! kwa kiinglishi Yua FiNiSheD

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad