
Askari wa usalama barabarani wakiendelea na zoezi lao la ukaguzi wa magari wakati wakielekea kuadhimisha wiki ya nenda kwa usalama jijini Dar leo.

Askari wa usalama barabarani akiwa amemsimisha dereva wa pikipiki aliekuwa akiendesha pikipiki hiyo bila ya kuwa na leseni.

magari mengi ya likamatwa leo katika ukaguzi huo unaoendelea sehemu mbali mbali hapa jijini.
No comments:
Post a Comment