
Meneja matangazo wa Tigo,Redemptus Massanja (shoto) akikabidhi mfano wa hundi kwa mshindi wa promosheni ya "JIKONI NA TIGO",Bw. Watambile Chishagimbi mkazi wa Tabata.katikati ni Afisa Viwango wa Tigo,David Zacharia.

Meneja matangazo wa Tigo,Redemptus Massanja (shoto) akikabidhi mfano wa hundi zenye thamani ya sh. milioni 7 kwa mshindi wa promosheni ya "JIKONI NA TIGO",Bw. Heronimo Msefya mkazi wa Tegeta katika hafla fupi ya kukabidhi zawadi kwashindi wa promosheni hizo iliyofanyika mchana wa leo kwenye makao makuu ya Tigo.katikati ni Afisa Viwango wa Tigo,David Zacharia.

Meneja matangazo wa Tigo,Redemptus Massanja (shoto) akikabidhi simu aina ya Blackberry 84 kwa mshindi wa promosheni ya "JIKONI NA TIGO",Bi. Irene James mkazi wa Kimara.

Meneja matangazo wa Tigo,Redemptus Massanja (shoto) akikabidhi mini laptop aina ya Accer 84 kwa mshindi wa promosheni ya "JIKONI NA TIGO",Bi.Ester Mani mkazi wa Kijichi.

Meneja matangazo wa Tigo,Redemptus Massanja (kulia) akimpongeza mshindi wa pili wa promosheni ya "FIKIRIA MAZURI" Bw. Iddy Kafterana ambaye leo amekabidhiwa pikipiki ya matairi matatu aina ya TOYO (Bajaj) katika hafla fupi ya kukabidhi zawadi kwashindi wa promosheni hizo iliyofanyika mchana wa leo kwenye makao makuu ya Tigo.
No comments:
Post a Comment