
pamoja na kwamba Machinga Complex kuwa milango wazi kwa sasa,lakini huku jamaa bado wanazidi kupete tu kwa kwenda mbele.tena wanazidi kushika kasi kwa kukaa hadi mabarabarani kusaka wateja.

hii ni njia ya waenda kwa miguu na waendesha baskeli,lakini koote kumejaa biashara za hawa jamaa.

sagula sagula limekolea.

hadi huku Boma mambo yanaendelea.
No comments:
Post a Comment