Rais Jakaya Kikwete akihutubia umati wa wakazi wa Tunduma jioni hii wakati akianza kampeni yake mkoa wa Mbeya.
Rais Jakaya Kikwete akihutubia jioni hii mjini Tunduma ambako kumetia fora sana kwa umati mkubwa wa watu katika vituo vidogo vya mikutano ya kampeni za Chama tawala CCM
Uwanja wa mkutano Tunduma ulikuwa hautoshi Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Mark Mwandosya akimfagilia njia JK ya kuhutubia wananchi wa Tunduma leo
Acha ku-copy wewe endelea mtaa kwa mtaa tu.
ReplyDelete