mwanzo tulianza kuiona hii iliyoimbwa na Diamond na kila mtu aliipenda sana kwa kweli.
leo tena naiona hii ambayo nikiisikiliza kwa makini naona ni kama tofauti na ile ya mwanzo,sasa sijui inakuwaje hapa???mataalam wa maswala ya muziki msaada wenu wa kina unahitajika hapa.
No comments:
Post a Comment