
ALIHANGAIKA kutafuta nafasi za masomo ya elimu ya juu, hatimaye akaja kuipata nafasi hiyo nchini Marekani. Baada ya kufanikiwa, Ernest Makulilo, Mtanzania anayeishi na kusoma nchini Marekani, ameamua kuwasaidia wengine jinsi ya kuomba nafasi za masomo ya juu katika nchi za Ulaya na Marekani ikiwa ni mchango wake kama anavyoeleza katika mahojiano haya na Gazeti la Mwananchi.
Kusoma intavyuu yote ya Mdau
Makulilo Jr
tembelea katika libeneke jipya kabisa la Globu ya Jamii kwa
ku
BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment