HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 23, 2010

libeneke jipya la angalia bongo

Anaeonekana katika picha hii natumai si mgeni katika macho yetu kwani ni mwanalibeneke ananaelisongesha libeneke lake hilo kupitia wanja HILI HAPA,afahamikae kwa jina la Sarah Peter.

Sarah yupo kwenye gemu kwa muda mrefu sana akiwa na kifaa chake hiki angaliabongo.com ila kutokana na sababu zilizokuwa zipo nje ya uwezo wake mwanadada huyu akaamua kulianzisha libeneke lingine ili asiweze kuwakwaza watembeleaji wake,ambapo kwa sasa Sarah amekuja na wanja hili hapa

http://angalia-bongo.com

ambalo kalizindua siku za hivi karibuni tu.
hebu mtembelee uone mambo yake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad