HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 13, 2010

Hatimae Shimo La Kona Ya Shoppers Lapatiwa Mfuniko

Lile shimo lililokuwepo pale kwenye kona ya shoppers plaza,mikocheni ambalo lilikuwa likipigiwa kelele kwa muda mrefu hatimaye leo mchana lilipatiwa mfuniko na kuweza kulifanya eneo hilo kuwa salama kabisa kwa watu wote watumiao njia hiyo.sasa sijui huu mfuniko utadumu?? maana wakipita wale jamaa wa vyuma chakavu tu hapo basi kweupe.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad