
keki yenye mvuto iliyoandaliwa kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya kuzaliwa ya Dada Lilian Erasmus iliyofanyika leo katika ofisi zao.

Lilian Erasmus (Birthday Girl) kulia,akimlisa keki wajina wake Lilian Makau ambaye pia ni mfanyakazi mwenzake wakati wa hafla fupi ya sikukuu ya kuzaliwa ya Lilian iliyofanyika leo.

Lilian akimlisha keki Shukuru

Lilian akimlisha keki Thomas

Liliani akilishwa keki na rafiki yake alitwaye Betty huku wengine wakishangilia kwa furaha

Lilian akiandaa keki kwa ajili ya kuwalisha wafanyakazi wenzake.

picha ya pamoja ilichukua nafasi yake baada ya zoezi zima la kula keki kumalizika.
No comments:
Post a Comment