Leo ni siku kuu ya kuzaliwa Ankal a.k.a Mzee wa Libeneke mkuu Issa Michuzi.hivyo nami nikiwa kama mdau mkuu wa libeneke sina budi kumtakia kila la kheri katika sikukuu yake hii na kumuombea kwa mungu azidi kumjaalia afya njema na maisha marefu.
HAPPY BIRTHDAY ANKAL
Unaogopa nini kusema kwamba ni dingi wako??????
ReplyDeleteHope he had a good one!
ReplyDelete