Hello,
Nimerekodi mahojiano ya BBC Swahili kipindi cha Dira ya BBC wakati bi Aisha Yahya anahojiana na Hussein Bashe kuhusu suala la uraia kisha mazungumzo ya Salim Kikeke na John Chiligati kuhusu suala hilo.

Linki ni hii:
http://bit.ly/abkuk6
Shukrani kwa timu nzima ya BBC kwa mahojiano haya.
Subi

No comments:
Post a Comment