Hapa mtoto Glory Mroki akiwataarifu rafiki zake kuwa ametimiza miaka 2 Julai 24 2010 saa 4 asuhubi. Na katika kumshukuru Mungu kwa kutimiza umri huo ameandaa ndafu ya kuku home kwao Ukonga Mombasa, mtaa wa Mazizini.
HAPPY BITHDAY GLORY HAPPY BITHDAY 2 YOU. GOD BLESS YOU.
No comments:
Post a Comment