HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 28, 2010

Mafunzo ya Utawala kwa Viongozi Wa Vyama Vya Michezo

Mjumbe wa kamati ya utendaji TOC,Henry Tandau akitoa maelezo kwa viongozi wa michezo juu ya utawala bora wakati wa semina ya baadhi ya viongozi wa vyama vya michezo vilivyofika katika semina hiyo
Kocha wa timu ya taifa ya netiboli,Mary Protasi (kulia) akiwa na mjumbe wa kamti ya utendaji netibo na katibu wa chama cha tenesi nchini,Rose Kisiwa pamoja na mjumbe mwingine wakifuatilia kwa makini semina hiyo.
Mwenyekiti wa BFT Johani Minja kulia pamoja na mjumbe wa mchezo wa kricket.

picha kwa hisani
ya
Jane John Blog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad