
Miss Vodacom Higher Learning 2010,Frola Martin akipunga mkono mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo

Miss Vodacom Higher Learning 2010,Frola Martin akipunga mkono mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo lililofanyika usiku huu katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam, pili kulia ni mshindi wa pili Pendo Sam na pili kushoto ni Rachel Filbert mshindi wa tatu,kulia ni mshindi wa nne, Judith Osima na kushoto ni mshindi wa tano,Rahma Swai.

Tano Bora

washiriki wote wakiwa wamejipanga kabla ya mchujo wa tano bora

warembo wakionyesha shoo yao

Mangwer akifanya vitu vyake katika kusherehesha shindanano hilo lililomalizika usiku huu katika viwanja vya Karimjee,jijini Dar.

Quick Raca na Suma Lee wakionyesha vitu vyao jukwaani.

Majaji wakifuatilia kwa makini mtanange,kulia ni Anko Hashim Lundenga (kati) ni Jokate Mwegelo na Anko Bosco Majaliwa.

Francisca na Florance nao walikuwepo kufuatilia shindano hilo.

Rashid na Silas

Kamati ya Miss Tanzania ikifuatilia shindano hilo.

Wadau wa Vodacom

Warembo kibao walitia timu katika viwanja vya Karimjee kushuhudia mtanange huo ambao ulikuwa ni mkali na wakuvutia sana.

wadau wakifurahia mara baada ya kupatikana kwa mshindi wa shindano hilo.
No comments:
Post a Comment