HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 10, 2010

Zahra Seleman ndie mshindi wa Vodacom Miss Arusha City Center- 2010

Vodacom Miss Arusha City Center-2010, Zahra Seleman akipunga mkono

Vodacom Miss Arusha City Center-2010, Zahra Selemani (kati), akiwa na mshindi wa pili Glady Mollel (wa kwanza kulia) aliyeweza kujinyakulia taji la kuwa Balozi wa hoteli ya Naura Springs ya jijini Arusha pamoja na mshindi wa tatu, Bertha Dennis (kushoto) aliyejinyakulia taji la kuwa Miss Arusha City Center Talent.

Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kufanyiwa mchujo.

Washiriki wa Vodacom Miss Arusha City Center wakitoa burudani mara baada ya kutambulishwa.

1 comment:

  1. Kuna watu wanazaa sio mchezo,michuchu imikamilika idara zote. We acha tu.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad