
Baba na Mwana wakipiga kazi,kulia ni mzee Zahir Zorro na kushoto ni mwanae Banana Zorro wote kwa pamoja wanaunda B Band.

B Band ikifanya vitu vyake.

Mratibu mkuu wa Miss Dar Inter College,Angel Msangi akiserebuka na warembo wake katika kiota cha Thai Villege usiku wa kuamkia leo.hii ikiwa ni moja ya motisha kwa warembo hao ambao wataingia katika mtanange kwa kukata na shoka siku ya alhamisi ya tarehe 27 mei katika kiota cha club Bilicanas.


Warembo wakiserebuka kwa raha zaoo...

story za hapa na pale zilikuwepo za kumwaga kabisa,hapa walikuwa wakimsikiliza Mdau Yahya kutoka kampuni ya RBP,ambao ndio wadhamini wakuu wa mashingano hayo.

hapo je??????........
No comments:
Post a Comment