
Mabingwa wapya wa mchezo wa Pool,wakipata picha ya pamoja na Mgeni Rasmi Mh. Joel Bendera pamoja na Meneja wa Kilaji cha Safari Lager,Fimboh Buballah kati kati( katikati) mara tu baadaya ya kukabidhi zawadi zake kwa upande mwingine.

Muwakilishi toka IFM ambao ndio mabingwa watetezi wa shindano la mchezo wa Pool.

Muwakilishi toka UDSM.Michael Pascal akishangilia ushindi wa timu yake mara tu baada ya kuipoteza na kuigaragaza timu pinzani katika mashindano hayo,ambao ni Chuo cha IFM.

Mgeni rasni katika Mashindano hayo,Mh Joel Bendera akiongea machache mbele ya wanahabari pamoja na wanafuzi washiriki waliofika katika Fukwe za Coco Beach.

Meneja wa Bia ya Safari Lager,Fimboh Butala akizungumza maneno machache wakati wa fainali za Safari Lager Pool tabe.

vijana wa tht wakikamua vilivyo.

kila kona ilikuwa ni Full Shangwe.
No comments:
Post a Comment