HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 13, 2010

Sean Kingston Atua Dar

Mwanamuziki wa Kimarekani,Sean Kingston (kati) akiongozana na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere usiku huu.Sean Kingston akiwa na Mkurugenzi wa masoko wa TBL,David Minja (kulia) pamoja na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe (pili kushoto) wakitokea ndani ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere usiku huu.wengine ni wapambe wa Sean Kingston.
Sean Kingston akiingia garini Mwanalibeneke Abdallah Mrisho a.k.a Abby Cool akiwa amezungukwa na warembo waliokuwa wakiangalia picha katika kamera yake wakati wa mapokezi ya mwanamuziki wa Kimarekani,Sean Kingston katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere usiku huu.
baadi ya wadau wakiwa katika mazingumzo ya hapa na pale wakati wakimsubiria Mwanamuziki Sean Kingston.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad