mtaro huu ulijitengeneza kutokana na maji ya mvua,uko pale maeneo ya Magomeni Mwembechai karibia na sheli ya mafuta ya Oilcom kama unaelekea Kagera.haya wenye jukumu kazi kwenu mie nishawaonyesha.
No comments:
Post a Comment