Dekula Kahanga "Vumbi" enzi hizo akiwa na Och.Maquis Original wakati wa Top Ten Show za RTD miaka hiyooo walipokuwa katika ukumbi wa Vijana Social Hall Dar-Es-Salaam.Je, unakumbuka huu ulikuwa ni mwaka gani??
Dekula Kahanga,hii picha ilikua Top Ten Show ya Mwaka 1988.Enzi hizo RTD ililkua ikishirikia na CHAMUDATA,BASATA... pamoja na Wadhamini kama SIDA,DANIDA organisations za Sweden na Denmark nakufanya Tamasha kama hizi na kushirikisha karibu Bendi zote za Tanzania,Mwaka 1989/90 ilifanyika nyingine katika Uwanja wa Taifa,Maquis na Tancut walikua washishindi katika Nyimbo bora...

ReplyDelete