
mwendesha pikipiki akijaribu kukwepa shimo lilipo katika barabara ya Kinondoni,mbele ya geti la kuongilia shule ya sekondari ya Kinondoni.

hapa ni katibia na njia ya kukatiza kwenda makao makuu ya Chadema Kinondoni.

kama unakuja Manyanya ukitokea Kinondoni Muslim.
No comments:
Post a Comment