HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 1, 2010

Maandamano Ya Mei Mosi Leo

Wafanyakazi wa Muhimbili wakiwa katika maandamano ya Mei 1 kuelekea uwanja wa Uhuru ambapo ndiko zilikofanyika sherehe za sikukuu hiyo.
Wafanyakazi wa SwissPort wakiwa katika maandamano hayo
Maandamano yakiendelea kuelekea Uwanja wa Uhuru.
Baadhi ya wafanyakazi toka sekta mbali mbali wakiwa ndani ya uwanja wa Uhuru katika sherehe za sikukuu ya wafanyakazi iliyoadhishwa leo duniani kote.(Picha na Father Kidevu Blog)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad