HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 20, 2010

Kuuliza Si Ujinga: Eti Hii Alama Inaelekezaje??

maana mie haya maswala ya usalama Baraarani huwaga yananipiga chenga kweli kweli.

3 comments:

  1. Maana yake: barabara unayokwenda nayo ina kona ya ghafla, hivyo jichunge.

    ReplyDelete
  2. hahaha maaana yake kuna watu wanawahi Rose garden bana kwako watakugonga

    ReplyDelete
  3. ujiandae kukata kiuno huko huendako kwani barabara imekata kiuno

    ReplyDelete

Post Bottom Ad